CHETI CHA STAR UNIVERSITY USAJILI WA MTANDAONI

STAR UNIVERSITY ONLINE COURSE APPLICATION/ENROLLMENT (SWAHILI)

Gharama ya Kozi

Kila Kozi linagharimu $225 (Dola za Marekani) au pesa yenye kiwango sawia kulingana na sarafu ya nchi husika. (Isipokuwa ambapo pameelezwa). Wanafunzi kutoka sehemu zingine wanaeza Kupata kiwago kikubwa cha udhamini wa masomo na watahitajika kulipa gharama ya chini ya Kozi husika Wanafunzi wanahitajika kulipia gharama yote ya Kozi waliojiandikisha ama sehemu ys malipo kulingana na mpango wa malipo mara mbili. Kulipa kwa kawaida kutafanyika kupitia Papal (PayPal) ama kwa afisa msimamiza wa Star University katik nchi/Jimbo husika. Hata hivyo, wanafunzi kutoka marekani wanaweza kulipa kutumia hundi. Tafadhali kumbuka kwamba Papal (PayPal) hulipisha asilimia (2.2 %) kama malipo ya huduma wao kwako.

Jinsi Ya Kuchagua funzo/Mafunzo

Baada ya kujaza maelezo katika ukurasa huu, Bonyeza “Wasilisha Ombi” kisha utapelekwa kwenye ukurasa ufwatao ambapo utachagua funzo/mafunzo unayotamani kufanya. Chagua tu katika menyu juu chini iliyo juu ya ukurasa, kitengo ambamo mna funzo unalotamani alafu bonyeza kwa kisanduku kando ya funzo/Mafunzo unayotamani kujisajili

Malipo Kwa Njia ya hundi

Ikiwa wanafunzi kutoka marekani wangependa kulipa kutumia hundi badala ya Papal (PayPal), wanaweza kuituma Kwa sanduku la Posta lifuatalo: Star University, 215 State Street, Suite, Muskogee, Oklahoma 74401 USA Baada ya kuchagua Kozi unayotaka kufanya bonyeza “Kujiandikisha”. Unaweza kupuuza ukurasa unaokupeleka ka Papal (PayPal) kama unalipa kutumia hundi ama kama unalipa kwa msimamizi wa Star University katika eneo lako

Mpango wa malipo

Kuna Njia mbili kufanya malipo ya Kozi Malipo mara moja 1)Lipa karo yote mara moja mwanzo wa Kozi Malipo Mara Mbili 2)Lipia Kozi unayosomea kwa hatamu mbili. Nusu ya kwanza mwanzo wa kozi wakati wa usajili na nusu ya pili ya salio la karo katikati ya kozi

Udhamini

Baada ya usajili katika mojawapo ya kozi zake, Star University itakupa asilimia hamsini (50%) ya dhamana ya masomo na asilimia mia moja (100%) ya udhamini. Jumla ya malipo yako ni $225 pekee kwa kozi yote. Udhamini wa ziada yaweza peanwa kupitia foundations, Mashirika, Makanisa au Wahisani. Kujua zaidi ju udhamini wa ziada wasiliana nasi kupitia info@staruniversity.org